Wakati Kanisa Katoliki linajiandaa kwa mkutano wa kumchagua Papa mpya utakaoanza kesho Jumatanoo, wachambuzi wa Vatican wanasema, makadinali wako chini ya mashinikizo ya kumchagua papa mwenye uwezo wa kuziba mgawanyiko unaoendelea kukua kati ya pande mbili kuu za wanamageuzi na wanahafidhina ndani ya Kanisa hilo.
Related Posts
Hamas yapongeza wafanyakazi Microsoft kwa kufichua ushiriki wa kampuni hiyo katika mauaji ya kimbari Gaza
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, imeelezea kufurahishwa na misimamo ya baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya Microsoft…
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, imeelezea kufurahishwa na misimamo ya baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya Microsoft…
Iran yakosoa unafiki wa Wamagharibi kwa kufumbia macho jinai za Israel
Iran imelaani vikali kuendelea kwa mashambulizi na jinai zinazofanywa na Israel dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza na Ukingo…
Iran imelaani vikali kuendelea kwa mashambulizi na jinai zinazofanywa na Israel dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza na Ukingo…
Pezeshkian: Iran iko tayari kupanua mahusiano na Afrika katika nyanja zote
Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amesisitiza uwezo wa bara la Afrika na ulazima wa kuwepo ushirikiano na kwamba, IIran iko…
Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amesisitiza uwezo wa bara la Afrika na ulazima wa kuwepo ushirikiano na kwamba, IIran iko…