Wasiwasi wa afisa wa ngazi ya juu wa Marekani kuhusu kufichuliwa taarifa za siri za nchi hiyo

Mkurugenzi wa Shirika la Usalama wa Taifa la Marekani, Tulsi Gabbard, amesema wale wote waliofichua taarifa za siri watakabiliwa na hatua kali na kwamba suala hili haliwezi kuvumiliwa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *