Washirika wa Ukraine wailaani Urusi kwa shambulio baya la kombora

Shambulio la kombora la Urusi katika mji wa Sumy wa Ukraine, ambalo liliua watu 34 – ikiwa ni pamoja na watoto wawili – na kujeruhi wengine 117, limelaaniwa vikali na washirika wa Magharibi wa Kyiv.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *