Washington Post: Google imehusika katika mauaji ya kimbari ya Israel dhidi ya Wapalestina

Gazeti la Marekani la Washington Post limefichua ushirikiano wa kampuni ya Google na utawala wa Israel katika mauaji ya kimbari huko Gaza.