Wasafirishaji wa abiria kwa kutumia pikipiki, maarufu kama bodaboda katika Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera, wametakiwa kuwa waa…

Wasafirishaji wa abiria kwa kutumia pikipiki, maarufu kama bodaboda katika Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera, wametakiwa kuwa waa…

Wasafirishaji wa abiria kwa kutumia pikipiki, maarufu kama bodaboda katika Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera, wametakiwa kuwa waangalifu na kujiridhisha kuhusu abiria wanaowabeba. Wamehimizwa kutoshiriki kwa namna yoyote katika usafirishaji wa dawa za kulevya ili kuepuka kujiweka matatani kutokana na biashara hiyo haramu.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *