Waridi wa BBC: ‘Niliambiwa siwezi kuwa daktari lakini sasa ndoto yangu imetimia’

Dkt. Zaituni amabaye ni rais wa madaktari wanawake nchini Tanzania amekuwa daktari bingwa mbobezi kwa takribani miaka 20.