Waridi wa BBC; ‘Jinsi vipodozi vikali vilivyoharibu ngozi yangu’

Nice hakuamini kilichomkuta na kwamba aliamua kujitenga na familia kwa kuhofia kutoeleweka kwa kile kinachoonekana usoni kwake.