Waridi wa BBC: Anayopitia mama mwenye watoto wanne wenye kifafa, ugonjwa wa moyo, kichwa kikubwa na mgongo wazi

Wataalamu walimueleza kuwa sababu ya changamoto hiyo ni kuwa hakuzingatia baadhi ya dawa muhimu katika kipindi cha ujauzito wake.