Familia ya kifalme ya Qatar inapanga kutoa ndege ya kifahari aina ya Boeing 747-8, inayokadiriwa kuwa na thamani ya dola za kimarekani milioni 400 (£300m), kwa Idara ya Ulinzi ya Marekani ili itumike kama sehemu ya ndege zinazoitwa Air Force One – ndege rasmi za usafiri wa rais.
BBC News Swahili