Maelfu ya wakimbizi wa ndani wa Gaza walianza kurejea makwao asubuhi ya jana Jumapili baada ya kuanza kutekelezwa makubaliano ya usitishaji vita baina ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS na utawala haramu wa Israel.
Related Posts

Uingereza: Zaidi ya 90 wakamatwa kufuatia maandamano ya mrengo mkali wa kulia
China inapaswa kuadhibiwa – mkuu wa NATO Jens Stoltenberg amedai kuwa Beijing lazima ilipe gharama kwa ajili ya kuisaidia Urusi…
Safari ya Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran mjini Kabul
Sayyid Abbas Araghchi, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amefanya safari yake ya kwanza rasmi mjini Kabul tangu wanamgambo…
Shambulio la kigaidi kwenye msikiti nchini Niger laua makumi ya watu
Makumi ya watu wameuawa shahidi katika shambulio la kundi la kigaidi la ISIS kwenye msikiti mmoja kusini magharibi mwa Niger.…