Wapalestina, Misiri, Uingereza na wengineo walaani mipango ya Trump ya kuchukua udhibiti wa Ukanda wa Gaza

Donald Trump anasema anataka Marekani ichukue “umiliki wa muda mrefu” wa Gaza, na kuibadilisha kuwa eneo la “Kitalii la Mashariki ya Kati”.