Wapalestina 11 wauawa shahidi katika mashambulizi ya leo ya jeshi la Israel

Duru za kitiba zimetangaza kuwa Wapalestina 11 wameuawa shahidi katika mashambulizi ya anga ya jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza mapema leo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *