Wapakistan waandamana na kutoa kaulimbiu ya “Labaik Ya Al-Aqswa”

Maandamano makubwa yamefanyika katika mji mkuu wa Pakistan, Islamabad kwa ushiriki mkubwa wa matabaka mbalimbali ya wananchi na kuuunga mkono kadhia ya Palestina.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *