Wanawake wa Morocco wadai usawa katika kazi za nyumbani, wataka wanaume nao wavae “aproni” za jikoni

Kama sehemu ya maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani, makumi ya wanawake wa Morocco wamefanya maandamano kwenye mitaa ya Casablanca wakisisitiza umuhimu wa kazi za nyumbani zisizo na malipo na kudai usawa wa kijinsia katika kugawana kazi za nyumbani.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *