Wanawake wa Afrika na siri ya kubeba mizigo mizito karibu mara mbili zaidi ya uzito wao

Katika Afrika Mashariki, wanawake mara nyingi hubeba mizigo inayolingana na asilimia 70% ya uzito wa miili yao juu ya vichwa vyao, kwa masaa au hata siku kadhaa. Utafiti unaonyesha kuwa wamebuni mbinu ya kuhifadhi nishati wanapotembea ili kupunguza juhudi za misuli zinazohitajika kubeba mizigo hiyo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *