Wananchi wameendelea kuhimizwa kujitokeza kwa hiyari kwa ajili ya kujitolea damu kwa lengo la kukuza mfuko wa benki ya damu sala…

Wananchi wameendelea kuhimizwa kujitokeza kwa hiyari kwa ajili ya kujitolea damu kwa lengo la kukuza mfuko wa benki ya damu sala…

Wananchi wameendelea kuhimizwa kujitokeza kwa hiyari kwa ajili ya kujitolea damu kwa lengo la kukuza mfuko wa benki ya damu salama kwani uhitaji bado ni mkubwa ikilinganishwa na damu iliyokusanywa katika Siku ya Damu Salama Duniani.

Kwa mujibu wa Mratibu wa Damu Salama mkoani Shinyanga, Joel Mbare damu iliyokusanywa ni yuniti 869 huku mahitaji yakiwa yuniti 1,121 katika robo ya kwanza ya mwaka.

#azamnewsupdates
Mhariri | @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *