Wananchi wa Japan waandamana kupinga mpango wa Trump wa kuwafukuza Wapalestina Gaza

Wananchi wa Japan wamefanya maandamano makubwa mjini Tokyo kupinga mpango wa Rais wa Marekani Donald Trump wa kuwaondoa kwa nguvu wakazi wa Ukanda wa Gaza kutoka katika ardhi yao.