Wananchi wa halmashauri za mkoa wa Kigoma wamehimizwa kutumia fursa ya kampeni maalum ya madaktari bingwa wa Dkt

Wananchi wa halmashauri za mkoa wa Kigoma wamehimizwa kutumia fursa ya kampeni maalum ya madaktari bingwa wa Dkt

Wananchi wa halmashauri za mkoa wa Kigoma wamehimizwa kutumia fursa ya kampeni maalum ya madaktari bingwa wa Dkt. Samia watakaoweka kambi kwa siku sita kwa alengo la kutoa huduma za kibingwa mkoani humo.

Hayo yamesemwa na Katibu Tawala wa mkoa huo, Hassan Rugwa kama anavyoeleza kwa undani Jacob Ruvilo.

Mhariri @moseskwindi

#AzamTVUpdates #UTV108 #AdhuhuriLive

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *