Wanamitandao wa Iran: “Trump anasema uwongo”, “Marekani Shetani hatoki hatiani kwa mazungumzo”

Watumiaji wa mtandao wa kijamii wa X wametuma jumbe mbalimbali za kukosoa sera za Rais wa Marekani dhidi ya Iran na ushirikiano wake na viongozi wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika kufanya jinai za kivita huko Ghaza.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *