Wanamgambo wa CODECO washambulia na kuuwa zaidi ya watu 35

Wanamgambo wenye silaha wamewaua zaidi ya raia 35 na kuwajeruhi wengine kadhaa, katika shambulio lililotokea usiku wa Jumatatu katika vijiji  vya baadhi vya jimbo la Ituri Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.