Wanafunzi wa vyuo vikuu zaidi ya 40 vya Kenya washiriki katika mashindano ya Iranolojia

Katika jitihada za kupanua uhusiano wa kiutamaduni, kisayansi na kielimu kati ya Iran na Kenya, mashindano ya “Iranolojia” yamefanyika nchini Kenya kwa ushirikiano na vyuo vikuu zaidi ya 40.