Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Michigan wanaoiunga mkono Palestina wasimamishwa kwa miaka 2

Uongozi wa Chuo Kikuu cha Michigan nchini Marekani umesimamisha shughuli za kundi la wanafunzi wanaoiunga mkono Palestina kwa muda wa miaka miwili.