Wamorocco wafanya maandamano makubwa ya kuwaunga mkono Wapalestina

Makumi ya maelfu ya wananchi wa Morocco wamejitokeza katika kona zote za nchi kushiriki maandamano ya kuunga mkono kadhia ya Palestina.