Walowezi 1000 wa Kizayuni wavamia Msikiti wa Al-Aqsa huku wakilindwa na wanajeshi wa Israel

Katika siku ya tatu ya sikukuu ya pasaka ya Kiyahudi, walowezi elfu moja wa Kizayuni, huku wakisindikizwa na kupewa ulinzi na wanajeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel wamevamia eneo la Msikiti mtukufu wa Al-Aqsa katika mji wa Baitul-Muqaddas Mashariki unaokaliwa kwa mabavu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *