“Walituona kama familia yao”; Mateka wa Israel wamesema nini kuhusu mwenendo wa Kiislamu wa askari wa Hamas?

Ulinganisho wa hali ya wafungwa wa Kipalestina walioachiliwa huru na ile ya mateka wa Israel waliokuwa wakishikiliwa na harakati za ukombozi wa Palestina unaonyesha mienendo ya kibinadamu ya wanamuqawama na ushindi wao katika masuala mengine ya vita vya Gaza.