Walioangamia katika ajali ya ndege Marekani ni akina nani?

Waathiriwa wa ndege zilizogongana angani walikuwa ni wafanyikazi wa ndege waliojituma na wachezaji mashuhuri wa mchezo wa kuteleza kwenye barafu.