‘Walimpiga risasi baba yangu na mjomba wangu nikishuhudia’

Baada ya kukimbia vita makwao, zaidi ya wanariadha 100 kote Afrika wahudhuria majaribio wakitumai kuteuliwa kwa kikosi cha Olimpiki cha wakimbizi.