Wakimbizi wa Afghanistan wanaoishi Pakistan wahofia kufurushwa kwa nguvu

Serikali ya Pakistan inasema inahakikisha “hakuna mtu anayenyanyasika au kudhulumiwa wakati wa mchakato wa kuwarudisha.”