Wakimbizi wa Afghan wahisi ‘kusalitiwa’ na agizo la Trump la kuwazuia kuingia Marekani

Baadhi ya wakimbizi wa Afghanistan wameiambia BBC kuwa Marekani imewatelekeza licha ya kufanya kazi na vikosi vyao vilivyokuwa Afghanistan.