Wakenya 1,282, Wanauganda 393 na Watanzania 301 wamo kwenye orodha ya watakaotimuliwa Marekani

Serikali ya Rais mpya wa Marekani Donald Trump imetoa orodha ya wahamiaji wanaotakiwa kuondoka nchini humo huku mpango wa kuwatimua wahamiaji haramu ukianza kushika kasi.