Wakazi wa Mtwara wametakiwa kuhakikisha mashauri ya unyanyasaji wa kijinsia wanayoyafikisha kwenye jeshi la polisi badala ya kuripoti matukio kisha kukiuka sheria na kuyamaliza nje ya utaratibu rasmi ikiwemo vikao vya kifamilia.
John Kasembe ana taarifa zaidi
Mhariri @moseskwindi
#AzamTVUpdates #UTV108 #AdhuhuriLive