Wakazi wa Kijiji cha Nundwe wilayani Nkasi wameanza kutumia maji safi na salama baada ya kukosa huduma hiyo kwa zaidi ya miaka 40, ambapo walilazimika kunywa maji ya chemchem yasiyo salama ambayo pia yalikuwa yakitumiwa na mifugo.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi