Wakati Kiongozi Muadhamu alipoonana na Jeshi la Anga maadhimisho ya Alfajiri Kumi 2025

Sambamba na maadhimisho ya Alfajiri Kumi ya mwaka wa 46 wa ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya nchini Iran, Imam Khamenei ameonana na kundi la maafisa wa Jeshi la Anga la Iran.