Wakati anatumikia kifungo jela, Imran Khan ateuliwa kuwania Tuzo ya Amani ya Nobel

Waziri Mkuu wa zamani wa Pakistani Imran Khan aliyefungwa jela, ameteuliwa kuwania Tuzo ya Amani ya Nobel kwa “kazi aliyofanya kuhusiana na haki za binadamu na demokrasia nchini Pakistan”. Hayo yameelezwa katika tamko lililotolewa na chama cha siasa cha Norway Partiet Sentrum.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *