Wakala wa hali ya hewa watabiri mvua kubwa na hatari za mafuriko mashariki mwa Afrika

Kituo cha Utabiri wa Hali ya Hewa na Maombi (ICPAC) cha Mamlaka ya Maendeleo ya Kiserikali (IGAD), kambi ya kikanda, kimetangazaz kuwa, nchi kadhaa za mashariki na Pembe ya Afrika zinatazamiwa kupata mvua nyingi kuliko kawaida katika siku zijazo, na hivyo kusababisha mafuriko.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *