Wajuzi wa mambo ya biashara wanahimiza sana ubunifu kwenye shughuli za uzalishaji mali huku wakisisitiza kuwa ubunifu haumilikiwa na watu maalum bali kila mmoja ana nafasi ya kufanya ubunifu na kuongeza chachu ya ukuaji wa biashara yake.
Ubunifu ni aina ya ugunduzi ambao hapa unaoneshwa na kikundi cha wajasiriamali wa ufundi seremala kutoka wilayani Katoro mkoani Geita katika kutengeneza vyombo vya nyumbani kwa kutumia zana za jadi.
Ester Sumira ameandaa taarifa zaidi.
#azamnewsupdates
Mhariri @moseskwindi