Waisraeli waandamana kupinga kuanza tena vita vya Gaza

Maelfu ya waandamanaji wamejitokeza katika mitaa ya Tel Aviv kushiriki katika maandamano mapya ya kupinga serikali ya utawala huo haramu, wakati ambapo Waziri Mkuu, Benjamin Netanyahu alipokutana na Rais wa Marekani, Donald Trump mjini Washington.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *