Taasisi ya ‘Wakfu wa Shuhada’ ya Harakati ya Kiislamu ya Nigeria imewakumbuka na kuwaenzi mashahidi 27 waliouawa na vikosi vya jeshi la nchi hiyo wakati wa maandamano ya amani ya Siku ya Quds ya 2025 huko Abuja, na kusisitiza kujitolea kwao kwa kadhia ya Palestina.
Related Posts
Gazeti la Israel: Trump anaweza wikiendi hii akatangaza makubaliano ya kumaliza vita Ghaza
Rais wa Marekani Donald Trump huenda wikiendi hii akatangaza rasimu ya makubaliano ambayo yatamaliza vita vilivyoanzishwa na utawala wa Kizayuni…

UNICEF: Watoto wa Gaza wanazidi kujongewa na njaa, maradhi na mauti
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) limeonya kwamba watoto katika Ukanda wa Gaza wanakabiliwa na hatari kubwa…

Uhusiano na mkoloni Ufaransa wazidi kuharibika, Algeria yamwita balozi
Wizara ya Mambo ya Nje ya Algeria imemwita balozi wa Ufaransa mjini Algiers, Stephane Romatet ili kujieleza ikiwa ni kuonesha…