Wahispania waandamana wakipinga kuwasili timu ya mpira wa kikapu ya Maccabi ya Israel

Wakaazi wa mji mkuu wa Uhispania Madrid wameandamana wakipinga kuingia mjini humo timu ya mpira wa kikapu ya Maccabi ya utawala wa Kizayuni wa Israel ambao unatenda jinai dhidi ya Wapalestina.