Wahispania waandamana kupinga kuweko nchini humo timu ya mpira wa kikapu ya Maccabi ya Israel

Wakaazi wa mji wa Vitoria-Gasteiz Uhispania wameandamana wakipinga kuingia mjini humo timu ya mpira wa kikapu ya Maccabi ya utawala wa Kizayuni wa Israel ambao unatenda jinai dhidi ya Wapalestina.