Vikosi vya usalama vya Yemen jana viliwatia mbaroni wahamiaji 194 kutoka eneo la Pembe ya Afrika waliokuwa wakijaribu kuingia nchini humo kinyume cha sheria kupitia mkoa wa Shabwa wa kusini mashariki mwa nchi hiyo.
Related Posts
Vipaumbele vya Afrika wakati wa uenyekiti wa Afrika Kusini ndani ya G20
Wataalamu na watunga sera waliohudhuria mkutano kuhusu vipaumbele vya Afŕika wakati wa Urais wa Afrika Kusini wa Kundi G20 wamesisitizia…

Mashirika ya haki za binadamu ya Poland: Mkamateni waziri mhalifu wa Israel
Mashirika ya kutetea haki za binadamu nchini Poland yametoa wito wa kukamatwa Waziri wa Elimu wa Israel ambaye yuko safarini…

Iran yaonya baada ya Israel kutishia kushambulia ndege yake ya abiria
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, Esmail Baghaei ameukosoa vikali utawala wa Kizayuni Israel kwa kutishia kushambulia…