Wagonjwa laki mbili hatarini kufariki dunia Ghaza kutokana na Israel kuendelea kufunga vivuko

Wizara ya Afya ya Palestina imetahadharisha kuwa watu 200,000 wenye maradhi thakili wako hatarini kupoteza maisha kutokana na jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel kuendelea kuvifunga vivuko, jambo ambalo linavuruga pia utendaji kazi wa hospitali katika Ukanda huo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *