Wadau wa biashara na viwanda wamepongeza mapendekezo ya serikali ya kudhibiti ushuru kwenye baadhi ya bidhaa, kuzuia ufungwaji holela wa biashara, pamoja na kuwazuia wageni kufanya biashara zinazopaswa kufanywa na wazawa.
Wameyasema hayo walipozungumza na #AzamNews, wakati ambapo mjadala wa bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2025/2026 umeanza rasmi Jumatatu hii bungeni jijini Dodoma.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi