Wacongo wanavyoogelea hadi Burundi kuwatoroka waasi wa M23

Raia wa Congo wanaokimbia vita wanalazimika kuogelea umbali ya mita 300 vuvuka mto Ruzizi ili kutafuta hifadhi nchini Burundi.