Wabunge wa Marekani, makuhani nao wapinga mpango wa Trump wa kutwaa Gaza

Mamia ya wabunge na makuhani wa Kiyahudi wa Marekani wametangaza upinzani wao dhidi ya mpango wa Rais Donald Trump wa kutaka kuliitwaa eneo la Ukanda wa Gaza huko palestina na kuwahamisha kwa mabavu wakazi wake.