Wabunge wa Iran walaani azimio la Bunge la Ulaya dhidi ya Jamhuri ya Kislamu

Wabunge wa Iran wamelaani vikali azimio la hivi karibuni la Bunge la Ulaya wakilitaja kuwa ni “uingiliaji kati na upendeleo” dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu.