Wabunge wa Ghana wawasilisha mswada wa kuongeza adhabu kwa wapenzi wa watu wa jinsia moja

Wabunge wa Ghana wamewasilisha tena mswada dhidi ya mahuusiano ya kiimapenzii ya watu wa jinsia moja (LGBTQ), baada ya jaribio la awali kushindikana kwa sababu ya changamoto za kisheria.