Waasi wakaribia kuudhibiti kikamilifu mji muhimu wa Goma DRC

Serikali ya Congo imesisitiza kuwa bado ina udhibiti huku mapigano katika baadhi ya maeneo ya mji huo yakiendelea.