Waasi wa M23 wateka mji mwingine mashariki mwa DRC licha ya kudai kusitisha vita

Waasi wa M23 wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo jana Jumatano waliuteka mji wa Nyabibwe ulioko mashariki mwa jimbo la Kivu Kusini licha ya kudai kuwa wamesimamisha vita kwa upande mmoja.