Waasi wa M23 wasonga mbele zaidi mashariki mwa DRC kabla ya kuanza mazungumzo kesho Jumanne

Waasi wa M23 leo wameendelea kushambulia maeneo mbalimbali mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kabla ya kuanza mazungumzo ya moja kwa moja na serikali ya Kongo hapo kesho katika mji mkuu wa Angola, Luanda.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *